Matthew 10:9-10

9 aMsichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. 10 bMsichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake.

Copyright information for SwhKC